资讯

Vijana Queens itabidi ijilaumu wenyewe kufungwa na DB Troncatti, kwa pointi 69-66, kutokana na kushindwa kutumia nafasi ya ...
Zikiwa zimesalia siku 12 kabla ya kuanza kwa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN), ...
Akiwa ndani ya Yanga, kwa misimu miwili na nusu iliyopita kabla ya kuongeza mkataba mpya, amefanikiwa kushinda mataji matatu ya Ligi Kuu Bara na mengine matatu ya Kombe la FA katika msimu wa 2022-2023 ...
Kuna kampuni nyingi za ubashiri ambazo zinatoa huduma Tanznaia, lakini ni kampuni moja pkee ambayo inaaminika kwa asilimia ...
WAKATI Simba ikiendelea kutangaza orodha ya wachezaji watakaokuwa nje ya hesabu za timu hiyo kwa msimu ujao wakiwapa 'Thank ...
NI kama vile mabosi wa Simba sasa wameamua kujibu kwa vitendo baada ya kuwepo kwa kelele nyingi mtandaoni juu ya kushindwa ...
MWEZI uliopita, beki wa Arsenal, Ben White na mkewe, mrembo Milly walitangaza kuzaliwa kwa mtoto wao wa kwanza.
KWA wasiojua ni Jumamosi ya Oktoba 5, 2024, Feisal Salum 'Fei Toto' alitakiwa kusaini mkataba mpya wa miaka miwili na Azam FC. Mkataba huo ulikuwa ukiunganisha na ule aliokuwa nao ...
SIMBA ambayo imeshaondokewa na wachezaji tisa wakiwamo wanne wa kimataifa na watano wazawa walioiotumikia msimu uliopita, ...
NDOA kati ya Simba na beki wa kushoto, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ imetamatika rasmi baada ya msimu kumalizika.
ALIYEKUWA kipa wa Fountain Gate FC, John Noble amerudi rasmi kwenye Ligi Kuu ya Nigeria (NPFL) baada ya kujiunga na Rivers United kwa uhamisho huru baada ya kumalizika kwa mkataba wake.