资讯
MABOSI wa Simba wanaendelea kufanya usajili wa mastaa wapya kimya kimya, huku tetesi zikisema hivi sasa imefikia makubaliano ...
SIMBA inaendelea kuimarisha kikosi kimya kimya hii ni baada ya kutajwa kumalizana na Jonathan Sowah kwa mkataba wa miaka ...
YANGA SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa 2025-2026 ambapo leo Juni 22, 2025 imemtambulisha winga, Offen Chikola.
YANGA SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa 2025-2026 ambapo leo Juni 22, 2025 imemtambulisha winga, ...
Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limesikitishwa na kitendo cha timu ya Taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ kujitoa kwenye michuano ya CECAFA 4 Nation inayoendelea kwenye Uwanja ...
ULISIKIA lile jina la kiungo Lassine Kouma kutoka Stade Malien? Yule aliyekuwa anawindwa na Simba? Basi Yanga imefanya kama ...
BAADA ya kuitumikia Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Simba, inaelezwa kiungo mkabaji Jonas Mkude anaungana na aliyekuwa kocha wake, Miguel Gamodi. Mkude ni sehemu ya ...
BAADA ya tetesi na sintofahamu juu ya hatma yake msimu ujao, kipa namba moja wa kikosi cha Simba, Moussa Camara inadaiwa hivi ...
NDOTO ya mshambuliaji wa Simba SC na Taifa Stars, Kibu Dennis kucheza soka la kulipwa Marekani inakaribia kutimia baada ya klabu ya Nashville kumwongezea wiki ya majaribio kutokana na ...
UONGOZI wa Namungo, uko katika mazungumzo ya kupata saini ya aliyekuwa beki wa kati wa Fountain Gate, Jackson Shiga, ukiwa ni ...
MAKIPA waliomaliza mikataba Singida Black Stars, Metacha Mnata na Hussein Masalanga wapo katika mazungumzo mapya na uongozi ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果