BARCELONA inataka kuwasilisha ofa kwenda Marseille kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo, Mason Greenwood dirisha ...
VYOMBO vya habari za Ujerumani zimemgeukia straika wa Bayern Munich, Harry Kane licha ya kuwa na rekodi tamu ya kufunga ...
MAISHA si lelemama. Kuna kupanda na kushuka. Usimwone mtu kwenye runinga ukahisi kashatoboa, wakati mwingine kuonekana huko ...
UONGOZI wa Singida Black Stars umemalizana na aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Namungo, Omar Kaya ambaye amejiunga na timu ...
Stand United ‘Chama la Wana’ ya Shinyanga imeanza kwa kishindo Ligi ya Championship kwa kushinda mechi mbili na kuvuna pointi ...
KAIMU kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars, Hemed Morocco ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoshiriki katika maandalizi ya ...
KOCHA wa Bigman, Salhina Mjengwa amesema hawajapoteza matumaini kwenye Ligi ya Championship licha ya kuambulia pointi moja ...
JUZI September 28, ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa msanii maarufu nchini, Wema Sepetu huku akitimiza ahadi yake aliyoitoa ya ...
Staa wa PSG Ousmane Dembele, ataukosa mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Arsenal baada ya kukorofishana na kocha wa timu hiyo Luis Enrique.
Uimara wa safu za ulinzi ulioonyeshwa na Simba na Yanga katika mechi za mwanzo za msimu unaashiria ushindani mkubwa ambao ...
STRAIKA, Erling Haaland amefunga hat-trick tatu ndani ya mechi nane na kuvunja rekodi ya nyuma iliyokuwa ikiongozwa na ...